KAMPUNI YA BF SUMA YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA WATU TANZANIA
Kampuni ya bf suma
yenye makao yake nchini marekani imeendelea kusambaa na kugusa maisha ya watu
nchini tanzania na afrika kwa ujumla, huku maelfu ya watu wakibadilisha maisha
yao katika nyanja za afya na uchumi kwa kuongeza kipato na pia kutibiwa maradhi
mbali mbali ambayo yamekua sugu na hatimaye kudumaza shughuli za kiuchumi.
Katika matukio
mbali mbali kampuni hii imejihusisha katika shughuli za kijamii kwa
kuwakutanisha watu wengi katika masula tofauti tofauti ya kijamii na hatimaye
kufanikisha adhma ya kutatua matatizo katika jamii.
Hivi karibuni mikoa
mbali mbali ikiwemo Morogoro pamoja na Mbeya imeshuhudia kampuni hii ikishiriki
vema kabisa kaitika sherehe na maonysho ya kimtaifa ya kilimo na kuweza
kuwafikia maelfu kwa maelfu ya watanzania.
Hongera sana bf
suma, hongera sana wagavi woote kwa kuyafikia malengo na hatimaye kupunguza
mzigo wa tatizo la kiuchumi.
Comments
Post a Comment