# SPORTS, DEFOE NA LAMELA WAIPELEKA SPURS HATUA YA MTOANO (EUROPA LEAGUE)

Defoe
 Magoli ya Dofoe katika dakika ya (67) kwa mkwaju wa penalt na jamal (60), yameweza kuifikisha spurs katika hatua ya mtoano katika ligi ya europa, Totenham hotspurs wakishinda magoli mawili dhudi ya Sheriff Tiraspol nakuhakikisha wanapata nafasi katika hatua nyingine yenye upinzani mkubwa ssana katika ligi ya mabingwa ulaya maarufu kama uefa ndogo.

Comments

Popular posts from this blog

JOB OPPORTUNITIES

EMPLOYMENT OPURTUNITIES, WORLD VISION TANZANIA.

Steps To Silencing The Negativity