AKIWA NA CLUB YAKE YA LIVERPOOL, DANIEL STURRIDGE AMEENDELEA KUSHINE NA KUA MIONGONI MWA WANASOKA WAKUTUMAINIWA KWENYE CLUB YAKE NA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KWA UJUMLA.
Kampuni ya bf suma yenye makao yake nchini marekani imeendelea kusambaa na kugusa maisha ya watu nchini tanzania na afrika kwa ujumla, huku maelfu ya watu wakibadilisha maisha yao katika nyanja za afya na uchumi kwa kuongeza kipato na pia kutibiwa maradhi mbali mbali ambayo yamekua sugu na hatimaye kudumaza shughuli za kiuchumi. Katika matukio mbali mbali kampuni hii imejihusisha katika shughuli za kijamii kwa kuwakutanisha watu wengi katika masula tofauti tofauti ya kijamii na hatimaye kufanikisha adhma ya kutatua matatizo katika jamii. Hivi karibuni mikoa mbali mbali ikiwemo Morogoro pamoja na Mbeya imeshuhudia kampuni hii ikishiriki vema kabisa kaitika sherehe na maonysho ya kimtaifa ya kilimo na kuweza kuwafikia maelfu kwa maelfu ya watanzania. Hongera sana bf suma, hongera sana wagavi woote kwa kuyafikia malengo na hatimaye kupunguza mzigo wa tatizo la kiuchumi.
how far do you love your oversees football club is a question many wants to get appropriate answers, Following the news concerning the Ugandan Arsenal fan who lost a house while Manchester fans staking his own car and a wife that man u would triumph. To what extent do you love your football club? to the extent of loosing a house like an Ugandan fan? would you be ready fainting for your football club?
Comments
Post a Comment