AL AHLY WAIBUKA MABINGWA AFRIKA.



TIMU KONGWE YA MPIRA WA MIGUU YA MISRI, AL AHLY, IMEIBUKA NA USHINDI WA KOMBE LA AFRIKA KWA MAGOLI MAWILI DHIDI YA WAPINZANI WAO TIMU YA ORLANDO PIRATES KUTOKA AFRIKA KUSINI, KATIKA MCHUANO MKALIULIOFANYIKA HUKO MISRI.

MISRI WAMESHINDA KOMBE HILO KUBWA BARANI AFRIKA KWA MARA NANE IKIANZA NA MWAKA 1982, 1987,2001,2005,2006,2008, 2012 NA 2013.

KWA USHINDI HUO, MABINGWA HAO WAMEJIPATIA FEDHA YENYE THAMANI YA $1.5MILLIONS NA WATAWEZA KULIWAKILISHA BARA LA AFRIKA KWENYE MICHUANO YA FIFA YA VILABU HAPO MWEZI UJAO HUKO MOROKO.

Comments

Popular posts from this blog

KAMPUNI YA BF SUMA YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA WATU TANZANIA

KIKOSI KIPYA CHA TAIFA STARS, CHINI YA KOCHA MPYA MZAWA.

SHBIKI WA ARSENAL APOTEZA NYUMBA, NI BAADA YA CLUB YAKE PENDWA KUSHINDWA.