CHELSEA YANG'ARA, YASHIKA NAFASI YA PILI.
Mchezaji Fernando Torres alimalizia ushindi wa mabao 2 kwa moja dhidi ya
Manchester City nakuwaweka vijana wa Mourinho katika nafasi ya pili
katika msimamo wa ligi baada ya kuibuka na ushindi huo wa mabao mawili
kwa moja dhidi ya vijana machachari wa Pellegrin.
katika mchezo huo vijana hao wqa kocha mzoefu majuu, mourinho chelsea
walianza kujipatia bao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao raia wa
ujeruman Schurrle huku bao pekee la man city likiwekwa nyavuni na
mshambuliaji mzoefu na hatari sana Sergio Aguero.
Mshambuliaji Torres akirudi nyavuni nakuipatia chelsea bao la pili,
JE TORRES AMERUDI TENA KWENYE FORM? TOA MAONI YAKO HAPA...........
Comments
Post a Comment