BENKI YA DUNIA KUTUMIA $ 100 KATIKA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI.
Benki ya dunia imepenga kutumia kiasi cha $ 100 nchini tanzania katika shughuli za kijamii ikiwemo Elimu na hifadhi ya jamiii,
Haya yamesemwa na Wawakilishi wa taasisi ya Breton Woods Institution Ndugu Ritva Reinikka, huku akisisitiza fedha hizo kutumika zaidi katika kuchangia elimu Pamoja na Maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Hata hivyo wakuu hao wamezungumzia suala zima la walimu na nafasi yao katika kuelimisha jamii huku wakitilia mkazo walimu katiaka maeneo ya vijijini zaidi kuwezeshwa katika mbinu mbadala pamoja na kubopresha makazi na maslahi yao.
Comments
Post a Comment