ROONEY KUIONGOZA MAN UTD KUSAKA USHINDI HUKO ETIHAD STADIUM
Weekend hii mastaa wa manchester united watapambana uso kwa uso na mahasimu wao wakubwa manchster city huko Etihad stadium hapo kesho, Hii ndo itakua mechi yakwanza kwa Manager David Moyes wa Manchester united na Manuel Pellegrini wa manchester City kupambana kila mmoja akiwa na kikosi chake kipya.
Mshambuliaji maarufa wa kikosi cha manchester united alikaritiwa akikiri kua itakiua ni mechi ngumu sana huku mahasimu wawili wakikutana, japo rooney ameanisha kua mechi hiyo haitaweza kuamua mshindi katika ligi lakini amekiri ugumu wa mechi hiyo kali sana.
Wakati huo huo Manager wa chelsea akijiandaa na mpambano mkali sana dhidi ya mahasimu wenzao vijana wa london Fulham jumamosi ya leo. katiaka hali ya kawaida manager huyo mwemnye historia kubwa barani ulaya amekaririwa akisema, kujituma na kujiamini ni nguzo kubwa sana katika kuhakikisha kikosi chake kinapata ushindi mnono dhidi ya mahasimu hao Fulham. Hata hivyo ushindi ni muhimu sana akwa kikosi cha chelsea katika kuhakikisha wanarudisha heshima yao baada ya kupoteza michezo kadhaa katika mechi zilizopita.
Comments
Post a Comment