DR. RICHARD SEZIBERA AZUNGUMZIA NAFASI YA TANZANIA KATIKA SHIRIKISHO LA AFRICA MASHARIKI


Dr. Richard Sezibera, Katibu Mkuu EAC Azungumzia nafasi ya Tanzania katika shirkisho.    






EAC Secretary General Dr Richard Sezibera 
  • Nini hatma ya nchi ya Tanzania katika shirikisho?
  • Nini misingi ya dhana ya uharakisahwaji wa baadhi ya makubaliano?
  • Je malengo ya Tanzania katika shirikisho na Fursa zilizopo kwa vijana hasa wa kitanzainia?
Akiwa Jijini Nairobi akihudhuria mkutano wa Mabank na Tafiti (Banking and Research Conference) ulioitiswha na Umoja wa Mabenki (Bankers association) nchini Kenya Dr. Richard Sezibera alianisha haja ya nchi wanachama kutaka kufikia hatua za mbele zaidi kwa haraka huku akiinyoshea kidole nchi ya tanzania kwa ucheleweshaji wa kufikia malengo katika shirikisho hilo, 

Katika kuzungumzia hilo kiongozi huyo wa ngazi ya juu ya shirikisho la afrika mashariki, alisema haya 
“Those still putting barriers to trade and integration are missing the point. We need to integrate much faster,” huku akiongeza pia kwa kusema kuwa watu wengi hupenda kufaidi mafanikio na sio kuwekeza kwa muda mrefu, 

Hata hivyo Katibu Mkuu Dr Richard Sezibera aliendelea kusema haya, “I’m concerned that at the individual and regional level, many actors are interested in plucking the fruits of regional integration rather than growing the tree,” he said, adding that the fundamental aim is to have East Africa’s prosperity by integrating.

Mapema mwezi huu Maraisi Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Raisi Paul Kagame wa Rwanda walikutana Mjini Mombasa kujadili kwa kina kuhusu Miundo mbinu ya barabara ya Pamoja Afrika mashariki bila Uwakilishi kutoka nchini Tanzania.

Hata hivyo mkutano mwingine ulifanyika huko Entebbe June 2013, bila kuhudhuriwa na Uakilishi wa Tanzania na Burundi ambazo ni nchi wanachama katika shirikisho hilo, Nini maoni yako?

Comments

Popular posts from this blog

KAMPUNI YA BF SUMA YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA WATU TANZANIA

KIKOSI KIPYA CHA TAIFA STARS, CHINI YA KOCHA MPYA MZAWA.

SHBIKI WA ARSENAL APOTEZA NYUMBA, NI BAADA YA CLUB YAKE PENDWA KUSHINDWA.