Skip to main content

BIASHARA AFRIKA NA CHINA YAKUA ZAIDI





39-year-old trader Ali Diallo from Guinea, who sells Chinese electronics to retailers across Africa, speaks on the phone outside his shop in Chungking Mansions. PHOTO/AFP
Mfanya biashara wa guinea, ambae anauza vifaa vya kielectronic sehemu mbalimbali afrika akiongea kwa simu nje tu ya duka lake.

Biahara kati ya mataifa ya afrika na taifa la china imeendelea kuimarika zaidi huku wafanyabviashara wengi wa kiafrika wakifufaika sana na biashara hiyo kwa kukuza mitaji na kujipatia pato kubwa.

Sababu za ukuaji huo was haraka zinasemekana kua miongoni mwao ni; urahisi wa kuanzisha biashara kutokana na bidhaa kua na bei nafuu zaidi, na hivyo kuwawezesha wafanyabiashara kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo na hatimaye kufikia malengo yao ya kukuza biashara zao kwa muda mfupi sana,

Sababu nyingine inasemekana kua ni ubunifu mkubwa sana wa watengenezaji wa bidhaa na wafanya biashara wa china kiujumla katika kuhakikisha wanapata soko la bidhaa zao za viwandani katika sehemu kubwa mbali mbali za afrika, 

Hivi karibuni nchini ya china imepata umaarufu mkubwa sana katika masuala ya ukuaji wa uchumi wake huku ikiongoza katika kufanya biashara na mataifa mengi ya afrika, hata hivyo ongezeko hilo la biashara limeifanya nchi hiyo kushika nafasi nzuri sana kidunia katika uhimara wa uchumi wake.


Comments

Popular posts from this blog

KAMPUNI YA BF SUMA YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA WATU TANZANIA

KIKOSI KIPYA CHA TAIFA STARS, CHINI YA KOCHA MPYA MZAWA.

SHBIKI WA ARSENAL APOTEZA NYUMBA, NI BAADA YA CLUB YAKE PENDWA KUSHINDWA.