KAMPUNI YA BF SUMA YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA WATU TANZANIA

Kampuni ya bf suma yenye makao yake nchini marekani imeendelea kusambaa na kugusa maisha ya watu nchini tanzania na afrika kwa ujumla, huku maelfu ya watu wakibadilisha maisha yao katika nyanja za afya na uchumi kwa kuongeza kipato na pia kutibiwa maradhi mbali mbali ambayo yamekua sugu na hatimaye kudumaza shughuli za kiuchumi. Katika matukio mbali mbali kampuni hii imejihusisha katika shughuli za kijamii kwa kuwakutanisha watu wengi katika masula tofauti tofauti ya kijamii na hatimaye kufanikisha adhma ya kutatua matatizo katika jamii. Hivi karibuni mikoa mbali mbali ikiwemo Morogoro pamoja na Mbeya imeshuhudia kampuni hii ikishiriki vema kabisa kaitika sherehe na maonysho ya kimtaifa ya kilimo na kuweza kuwafikia maelfu kwa maelfu ya watanzania. Hongera sana bf suma, hongera sana wagavi woote kwa kuyafikia malengo na hatimaye kupunguza mzigo wa tatizo la kiuchumi.