DONALD TRUMP ASHINDA UCHAGUZI.
Mgombea kwa tiketi ya Chama cha Republican nchini marekani, ndugu Donald Trump ameushangaza ulimwengu kwa kuibuka mshindi katika mbio za uraisi, ambapo amemshinda mpinzani wake wa karibu kabisa Bibi Hilary Clinton, ushindi huo umekuja baada ya trump kujizolea kura nyingi kutoka kwa watu wanaoishi maeneo ya vijijini pia Na watu wasiokua Na elimu kubwa zaidi.