Posts

Showing posts from September, 2016

MMILIKI WA MTANDAO WA FACEBOOK AZURU AFRICA. ALA UGALI NA SATO KENYA

Mmiliki wa mtandao pendwa duniani Facebook azuru barani afrika na kuweka kituo hapo nchini Kenya ambapo alipata fursa ya kula ugali Na Sato. Safari ya mmiliki huyo ilijikita katika kuweka mazingira Salama ya uwekezaji katika sekta ya habari Na mawasiliano kwa njia ya internet, huku Kenya ikiwa Ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza kwa ukuaji wa matumizi ya mtandao.