REAL MADRID WAIBUKA KINARA KWA UTAJIRI.
Kutokana na yafiti zilizofanywa na kampini ya Delloite ya huko majuu(barani ulaya) zimethibitisha kua real madrid bado ni kinara katika umiliki wa pesa huku ikizipiku klabu mashuhuri kam vile Manstester United Chelsea na nyinginezo. kwa ufupi hivi ni viwango vya fedha kwa klabu za soka. 1. Real Madrid: 549.5m (518.9m) • 2. Man Utd: 518m (423.8m) • 3. Bayern Munich: 487.5m (431.2m) • 4. Barcelona: 484.6m (482.6m) • 5. Paris Saint Germain; 474.2m (398.8m) • 6. Manchester City: 414.4m (316.2m) • 7. Chelsea: 387.9m (303.4m) • 8. Arsenal: 359.3m (284.3) • 9. Liverpool: 305.9m (240.6m) • 10. Juventus: 279.4m (272.4m) Source: Deloitte, revenues in euros for 2013-14 season. Note: 2012-13 revenues in brackets